Jinsi ya kuomba mafunzo ya ualimu.

Jinsi ya kuomba mafunzo ya ualimu.

lettymololo

Senior Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
132
Reaction score
11
Jamani wakuu naomba kwa yeyote anaefahamu jinsi ya kuomba nafasi ya mafunzo vyuo vya ualimu inakuaje? Msaada tafadhali.
 
Sijaelewa kuna watu wanasema tunaomba kupitia cas wengine barua,but nikiingia cas sioni sehemu ya walimu.
 
Back
Top Bottom