mi nimelipia sh 30000 kwa mpesa kwenda HESLB tangu juma tatu, voda wakanitumia ile sms ya uthibitisho ambayo ina ID transaction lakin paka leo hii nikiingiza izo ID transaction kwene OLAS ili niapply wananiambia kwamba invalid transaction wakati nimeshalipia, nikawapigia voda kuwaeleza tatizo wakasema wao tayar wameshatuma taarifa za namba yangu ya 4m4 ambayo ndo nililipia iyo pesa loan, wakanipa namba ya mezani niwapigie loan board kuwapigia hawapokei, kwa anaefaham zaid anisaidie.[h=1][/h]
usiwe na haraka huwa inaweza ikachukua mda kidogo huwezi ukalipa na ukaingiza hizo transaction ID siku hiyohiyo zikakubal inaweza ikachukua hata siku 4 hadi 5
wakuu nimemaliza mtihan week iliyopta naruhusiwa ku apply loan?