Jinsi ya kuondoa Activation lock (Icloud unlock) kwenye iPhone

Jinsi ya kuondoa Activation lock (Icloud unlock) kwenye iPhone

mbududa

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
730
Reaction score
2,382
Habari wandugu,

Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc.

Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani baada ya kuondoa iweze kupokea latest ios update na pia waweza reset.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu weka ndani tu hizo simu zenye Apple ID.

Solution zipo lakini ni gharama ndefu sana, tena kwa server online.
 
Mkuu weka ndani tu hizo simu zenye Apple ID.

Solution zipo lakini ni gharama ndefu sana, tena kwa server online.

Mkuu ndo tuwekee hiyo Solution, ili wadau waijue...Ila uiweke ya uhakika ns ushahidi kama upo
 
Unataka kutoa activation bila ku bypass kama tu Android 5.1.1 lazima u bypass
Maybe utakua na Solution ww ndo utujuze
IMG-20200802-WA0006.jpg
IMG_20200727_105006.jpg
 
siku hizi simu zinafunguliwa ila mara hazisomi line nk.
 
Wadau nimekutana na hili bango, huyu anajinadi anaondoa activation lock...Kaweka na namba zake za simu, kwa anayemfahamu au aliyewahi sikia tafadhali tujuzane huo utaalamu wake...
IMG_1432.jpg
 
Sorry kwa kuwa hii ni mada tofaut nina samsung S8+ lcd full nyuma na mbele inacost bei gan!?
 
Back
Top Bottom