Mkuu weka ndani tu hizo simu zenye Apple ID.
Solution zipo lakini ni gharama ndefu sana, tena kwa server online.
Hiyo tool inaitwaje mkuu na ukibypass inapokea ios updateUnataka kutoa activation bila ku bypass kama tu Android 5.1.1 lazima u bypass
Maybe utakua na Solution ww ndo utujuzeView attachment 1544321View attachment 1544322
Mkuu mada inauliza ios wewe unajibia AndroidUnataka kutoa activation bila ku bypass kama tu Android 5.1.1 lazima u bypass
Maybe utakua na Solution ww ndo utujuzeView attachment 1544321View attachment 1544322
Usichokijua hakipo hilo weka sana akiliniMkuu mada inauliza ios wewe unajibia Android
Au mimi ndio sijaelewa?
[Windows] FREE Untethered icloud bypass fix reboot - FRP FILEHiyo tool inaitwaje mkuu na ukibypass inapokea ios update
Ni kweli ukibypass huwa line hazisomi, mkuu napendamovie ufafanuzi kidogo haposiku hizi simu zinafunguliwa ila mara hazisomi line nk.
atleast uyu jamaa namuamin anaiona signature yake ameweka checkra1nUnataka kutoa activation bila ku bypass kama tu Android 5.1.1 lazima u bypass
Maybe utakua na Solution ww ndo utujuzeView attachment 1544321View attachment 1544322
S7+ inafanyika?For complete iCloud removal, Dm.View attachment 1609703View attachment 1609704
S7+ inafanyika?
Ingia aliexpress uagize mzeeSorry kwa kuwa hii ni mada tofaut nina samsung S8+ lcd full nyuma na mbele inacost bei gan!?