Jinsi ya kuondoa alama za mafuta kwenye mkoba

Vee94

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
20
Reaction score
16
Wapendwa naomba mnisaidie namna ya kuondoa alama za mafuta kwenye mkoba aina ya leather, nimejaribu kufua kwa maji ya moto na sabuni bado alama ipo. Mwenye ufahamu zaidi naomba anisaidie.

Asanteni sana.

 
Nunua begi jingine kwani lazima liwe hilo? Hata hivyo huo uwazi wa zipu umekaa kimitego!! Ebu uangalie vizuri!
 
Geuza iwe fursa/fasheni, kama alivyofanya "kidot".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…