"si kimwingiacho mtu tumboni kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Maana kimuingiacho hupita tumboni na kwenda kutupwa chooni, lakini kimtokacho ndicho kinachoujaza moyo. Moyoni hutoka husuda, ugomvi, wivu, tamaa mbaya, ibada ya sanamu etc". Sikumbuki ni mstari gani wa biblia umeaandika haya, but nataka kujaribu kuwarekebisheni tu kwamba Yesu alisharuhusu kula kila kitu.
Kuna mstari katika warumi unasema: chochote ufanyacho kwa imani kifanye iwapo nafsi yako haikuhukumu wala humkwazi mwenzako. Kula nguruwe si dhambi iwapo nafsi yako haikuhukumu na wala humkwazi jirani yako. Maana haifai jirani yako atende dhambi kwa ajili yako. Misitari nimeisahau. Lakini mkitaka evidence basi nitaitafuta hii misitari iliko.
Kwa Kumsingiza wewe Uongo kuwa Bwana YESU aliruhusu kila kila kitu ni uongo mkubwa iweje Bwana YESU aruhusu kula kitu? basi itakuwa huyo Bwana YESU ni Feki hakutumwa na Mwenyeezi Mungu.Aliyeruhusu kula kitu ni"si kimwingiacho mtu tumboni kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Maana kimuingiacho hupita tumboni na kwenda kutupwa chooni, lakini kimtokacho ndicho kinachoujaza moyo. Moyoni hutoka husuda, ugomvi, wivu, tamaa mbaya, ibada ya sanamu etc". Sikumbuki ni mstari gani wa biblia umeaandika haya, but nataka kujaribu kuwarekebisheni tu kwamba Yesu alisharuhusu kula kila kitu.
Kuna mstari katika warumi unasema: chochote ufanyacho kwa imani kifanye iwapo nafsi yako haikuhukumu wala humkwazi mwenzako. Kula nguruwe si dhambi iwapo nafsi yako haikuhukumu na wala humkwazi jirani yako. Maana haifai jirani yako atende dhambi kwa ajili yako. Misitari nimeisahau. Lakini mkitaka evidence basi nitaitafuta hii misitari iliko.
Mkuu hebu wewe uwaambie ukweli wapate kuamini Wanamsingizia Bwana YESU kuwa ameruhusu kila kitu basi hata kamaWanadamu kwa kuhalalisha dhambi hamjambo. Shetani siku zote amekuwa kinyume na maagizo ya Mungu, amefanikiwa sana kuwadanganya wanadamu. Wanadamu wanapenda kuchagua baadhi ya maneno kwenye Biblia na kuyapindisha maana ili kujihalalishia uchafu na uasi wao kwa kutimiza tamaa za miili yao. Lakini kumbukeni kuwa neno la Mungu kamwe halibadiliki na maagizo yake na amri zake hudumu milele.
Kuna baadhi ya mistari ikiwabana mnasema ni ya agano la kale imepitwa na wakati, but kuna mingine inayowapendeza mnasema ni sahihi. Hebu someni na hii ila na yenyewe msiseme tu kuwa zilikuwa sheria za Musa ziligongomelewa msalabani, manake ndio msemo wenu huo kuhalalisha dhambi... ISAYA 66: 15-17. ISAYA 65: 2-7.
Ushauri mzuri sana.Tumia majani na matunda kama Breakfast,lunch and dinner, extend hizo 3 ziwe tano,angalia hitaji la mlo wako kwa siku,gawa hicho cha kula cha siku mara tano,kunywa maji mengi sana,isiwe chini ya lita 3 kwa siku.
Waweza tumia mboga mboga na matunda kwa siku sita za juma,ndani ya hizo siku sita waweza kuchanganya na mshikaki mmoja mara moja ndani ya hizo siku sita.
siku ya saba waweza kula kiasi cha kukutosha cha carbohydrate.
ni hakika kama utasahau kula kula hovyo ukafuata ulaji wa aina hii utafanikiwa,usikae na njaa,kukaa na njaa hakusadii kupunguza mafuta mwilini
Mkuu sijaribu kuwatisha Watu wewe kama una ona ni sawa kula nyama ya Mbwa,paka,nguruwe,nyoka,simba chura panya kula tu hakuna anayeweza kukuzuia ilaUnajaribu kuwatisha watu,yule ambaye imani yake haimzuii mwacha ale kwani nguruwe hana madhara makubwa kama unavyojaribu kuwaaminisha watu,nyama ya nguruwe ipo kwenye kundi la nyama nyeupe ambazo mwilini mwa binadamu hazina madhara makubwa kama nyama nyekundu.
Mkuu hebu wewe uwaambie ukweli wapate kuamini Wanamsingizia Bwana YESU kuwa ameruhusu kila kitu basi hata kama
Mbwa,paka,fisi,nguruwe ,simba ,chura na mijusi wote hao ni vitoweo tu tuwe tunakula kwa sababu Bwana YESU
ameruhusu tule ehhh kasheshe kweli dini hizi zingine ni Feki Viongozi wa kanisa wanalifumbia macho agano la kale wao
kazi yao kubwa kusoma makanisani agano jipya agano la kale kwao limepitwa na wakati kwa sababu huko Agano la kale kuna sheria na hao viongozi wa kanisa hawataki kufuata sheria ya mussa kazi kweli.
Binafsi nahitaji saana kupungua hususan kitambi.
View attachment 49862
Kula cruciferous plants zikiwa mbichi mbichi hasa broccoli,cabbage na cauliflower. Unachemsha maji kwa muda mpaka yana chemka halafu weka hizo mboga kwa dakika mbili hadi tatu au hadi broccoli zina kuwa kijani iliyoiva (dark green). Hii ni kwaajili ya kuuua vijidudu na kuzilainisha kidogo. Hutakiwe kuzichemsha zaidi ya hapo kwasababu zitaharibika (denatured).
Hizi cruciferous plants zinahitaji nishati kubwa kuwa digested kwahiyo ni nzuri ku break down fat ili itumike kudigest. Pia kutokana na kutumia muda mwingi kuwa digested tumbo halipeleki taarika upesi kwenye ubongo kuwa unahitaji kula tena (njaa). Kwahiyo ukila broccoli kidogo utapunguza kitambi haraka.
Hii menu inaenda na nini
Usijenambia unakula hiyo unashushia maji au juice siku imeisha ..
Roho zitatoka
Asante mungu kwa kunibalance ka mwili lasivyo ningepata BP ..kwa vyakula hivi ...:wink2:
La hasha, hapa nilikuwa na msaidia Rock City kuongeza vyakula vya kupunguza kitambi na wala siyo kuleta vionjo vya mlo kamili. Anaweza kula vyakula vingine lakini aongeze hizi mboga na uliangalia vizuri mleta mada alikuwa haongelei balance diet bali vyakula vya kupunguza tumbo.Hii menu inaenda na nini
Usijenambia unakula hiyo unashushia maji au juice siku imeisha ..
:wink2: