Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Wow am so happy for u dear keep on moving if u need a food timetable let me know I know u will make it to the kilo u need nimefurahi kusikia taarifa hizi nzuri

yeah my ''winnysammy'' food timetable muhim kuijua,maana huo uji wa cabbage ni hatar hauna test kabisa,vile vile nina vidonda vya tumbo.asante sana sana ''mungu atakulipa dunian na ahera''
 
Ushauri wangu:
Usiku (kuanzia 11 jioni) usile: ugali, wali, ngano, ndizi na nafaka yeyote, pia usinywe chai, kahawa, bia (pombe).
Usiku kula: matunda na jitahidi kupata yasiyo na sukari sana kama ndizi mbivu, kula mboga za majani kwa wingi. Kama ipo siku una njaa kula hata nyama/samaki tani ----. Pia maji safi ya kunywa. Achana na hayo ma juice ya madukani.

Asubuhi na mchana kula vyakula kama kawaida na usibague saana vyakula, pia maji mengi bila kusahau mazoezi.
Baada ya mwezi njoo uposti matokeo hapa
 
Ushauri wangu:
Usiku (kuanzia 11 jioni) usile: ugali, wali, ngano, ndizi na nafaka yeyote, pia usinywe chai, kahawa, bia (pombe).
Usiku kula: matunda na jitahidi kupata yasiyo na sukari sana kama ndizi mbivu, kula mboga za majani kwa wingi. Kama ipo siku una njaa kula hata nyama/samaki tani yako. Pia maji safi ya kunywa. Achana na hayo ma juice ya madukani.

Asubuhi na mchana kula vyakula kama kawaida na usibague saana vyakula, pia maji mengi bila kusahau mazoezi.
Baada ya mwezi njoo uposti matokeo hapa
 

me nimepata 29.8
 


asante ntafuata hii maana hiyo supu ya cabbage ni hatar waweza pata kwashakooo kabisa Hayajamani
 
Last edited by a moderator:
me nimepata 29.8
una overweight fanya juu chini ucontral uzito koz usipozingatia hatua inayofata ni Obesity ambayo kwa kawaida inakaribisha zaidi ya magonjwa 10.

Zipo njia nyingi unazoweza kutumia kupunguza uzito lakini ambayo kwangu imefanya kazi utatakiwa kubadilisha mtindo wa maisha kwa siku 10, uwe tayari kubadili mfumo wa ulaji, jinsi ya kulala na kuamka, uingie katika system ya mazoezi kwa dk 20 kila siku kwa siku zote 10.

Gharama;

Nunua Skimmed Milk au Lowfat milk uwe nayo litre 5.
Programu hii inahitaji msosi wa nguvu wa nguvu xo unatakiwa ujiandae.
Nunua mita ya kupimia urefu
ANDAA NA HELA YA KUPUNGUZIA NGUO KWANI ZOTE ZITAKUPWAYA BAADAYA DOZI.
DOZI HII INAUWEZO WA KUPUNGUZA MPAKA KILO 10
VYAKULA TU NDIO VINATUMIKA HAKUNA KIDONGE

UKIWA YAYARI NITUMIE UNENE WAKO NA UMRI

WELLCOM
 
yeah my ''winnysammy'' food timetable muhim kuijua,maana huo uji wa cabbage ni hatar hauna test kabisa,vile vile nina vidonda vya tumbo.asante sana sana ''mungu atakulipa dunian na ahera''

Dear i will Write it Down and send to u nimebanwa Kodogo na shughuli bt i promise i will send
 

nina kilo 83 na nina miaka 20
 
Mim nina uzito wa kg 82, wakati nina urefu wa cm 166 jaman naomben msaada wa kijipunguza nimechoka.
Hamna zaidi clean 9 program. Mm nimepunguza mpaka kilo 9. Nicheki nikuelekeze.siwez andika hapa. Im using 4n
0713297066
 

so hiyo unatumia maisha yako yote?kama ni mara moja si nitanenepa tena
 
so hiyo unatumia maisha yako yote?kama ni mara moja si nitanenepa tena

Lengo la mtu ni kutaka kupunguza uzito. Mtu akipunguza uzito haitakuwa rahisi kwake kukubali kunenepa tena. Akijiachia kama awali kwa vyovyote lazima atanenepa tena na lipo wazi kabisa
 
Ladies and Gents.......,

I think that all moms and dads, wasichana na wakaka should have tryn to this crazy thigs, yet very effective yaani

Leo ningependa kuwapa siri yangu niliyoitumia kupunguza baadhi ya sehemu ya mwili wangu kupitia body wrap.

BODY WRAP ni nini? - ni aina ya urembo utakao sababishia kupungua kwa vipimo vya mwili na kutakasika ngozi.

Sasa basi body wrap mara nyingi hufanyika spa saloon au nyumbani ila mimi nitazungumzia jinsi ya kufanya nyumbani

MAHITAJI:-

-Epsom salt, Aloe vera liquid, plastic wrap, bandage na cellulite lotion na vitu vyote hivi vinapatikana pharmacy au supermarket

ESSENTIAL OIL:- Juniper oil, lemon oil, vetiver and niaouli oil.

MATAYALISHO:-

-Chemsha maji vikombe 3 then yaipue
-Add kikombe kimoja cha Epsom salt huku ukikologa
-When salt is dissolve, add nusu kikombe cha aloe vela
-Add ESSENTIAL OIL matone 3 kila moja
Then changaya mchangayiko wako na uweke tayari kwa kujipaka.

Sasa kabla ya kujipaka unatakiawa kutayalisha mwili wako au targeted area unazotaka zipungue,unatakiwa kufanya hivi:

Oga vizuri kwa maji ya moto ili ku open poses za mwili na usitumie sabuni
Anza wa kufanyia mwili massage au target area zako kwa kutumia Almond oil, hapa kuna angalizo mwanamke mfanyie massage mumeo angalau dk 20 usiache aende kufanyiwa saloon




Nitaendelea.....
 

Attachments

  • C360_2014-04-11-09-21-01-631.jpg
    153.1 KB · Views: 441
  • C360_2014-04-11-08-46-14-863.jpg
    128.1 KB · Views: 537
  • C360_2014-04-11-09-18-08-960.jpg
    70.9 KB · Views: 448
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…