Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kama unataka kutoa kitambi nakuhakikishia hilo zoezi halitakupa matokeo yoyote. Hakuna zoezi linaloburn mafuta ya sehemu moja specific kwenye mwili wako
Fanya mazoezi ya cardio haya yanapunguza mafuta mwili mzima na tumboni pia.
Zoezi hilo ya kitairi (roller) linatone tumbo ambalo tayari halina mafuta.
Fanya research. Have a good day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu zoezi zuri la kupunguza kitambi ni kukimbia walau kilomita 10 kila siku,zingatia mlo kamili hasa matunda na mboga mboga kwa wing na pia kuepuka kabisa vyakula vya mafuta.Zaidi ya hapo epuka vyakula vya barid na kila baada ya mlo wako kunywa glass ya maji ya vuguvugu yenye ndimu nzima ndani yake.Baada ya hapo njoo unishukuru
 
Cardio ndio yepi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja nianze kaka,ila kilomita kumi per day dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Hapo unapoishi hapana Shule Karibu?

Hebu Tafuta Dogo wa Form III mbebeshe ujauzito halafu baada ya mwezi mmoja angalia kitambi chako kilipofikia.
 
Sahihi... Roller inakaza tumbo na sio kupunguza tumbo.. So ukipiga roller huku unakitambi zaid tu itakusaidia kupunguza rate ya kula koz tumbo linakuw linajibana.. Homework zipo nyingi... Ruka kamba at least hata 1000 per day.. En iwe mfululizo yani ukianz moja usisimame hadi ufike 1000
roller haipunguzi wala kuondoa kitambi....

roller inakuwa effective ikitumiwa na mtu asiye na kitambi


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli nimegundua,inakaza misuli ya tumbo

Ngoja nianze ruka kamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia you tube andika "plunk" utaona mazoezi mepesi tu ya tumbo pia punguza au acha kabisa kula vyakula vya wanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi nimeacha kula wanga toka February 1 naona mabadiliko makubwa japo napunguza fat mwili mzima sio tumbo tu napunguza na mwili.

Inafanya kazi Sana, nimepungua

Nitanunua na hicho kiroller niwe fit always.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyakula vya wanga

Ugali
Wali
Tambi
Vitumbua
Maandazi
Ndizi
N.k

Sasa wewe unakula nini ndugu,maana Tanzania hii km hujala hivyo unakula nini
Mimi nimeacha kula wanga toka February 1 naona mabadiliko makubwa japo napunguza fat mwili mzima sio tumbo tu napunguza na mwili.

Inafanya kazi Sana, nimepungua

Nitanunua na hicho kiroller niwe fit always.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go to hell

Kunywa mwenyewe kampe na babu yako na ndugu zako wasiwe na vitambi.

Hakuna dawa inaondoa kitambi zaidi ya kubadili mfumo wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…