Jinsi ya kuondoa lamination kwenye document

Ni cha kwangu, sema walikilaminate vibaya!! Nataka itolewe nipeleke sehem watakayolaminate vizuri, kwa sababu lamination iliyopo inabanduka kwa ndani! Ni CSEE
Nenda ofisi waliyokupa hicho cheti,Kisha waambie kina matatzo Kisha wakutolee kipya.Vinginevyo utajuta.
 
Ukiambiwa kitu usikurupuke kutekeleza, changanya na za kwako, kalaminate karatasi nyeupe yenye maandishi kisha jaribu kubandua kwa kutumia pasi, ikiwork ndio uaply hiyo mbinu kwenye cheti,

Vinginevyo utaonekana unacheti feki au chenye kutia mashaka
 
Halafu kwa nini anataka kulamineitua cheti!? Kwa nini yaani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…