Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Hapo zamani za kale, wengi waliamini kuwa mvi ni dalili ya kuwa na hekima na pia mvi ni kiashiria cha uzee!
Wale waliopata mvi mapema ujanani wengine waliambiwa kuwa hizo ni 'mvi za ukoo'! Kitu ambacho sio cha kweli.
Tatizo la kuota mvi mapema, limehusianishwa kwa kiasi kikubwa na upungufu wa vitamin B.
Wanasayansi waliona kuwa acute shortaje (upungufu mkubwa) wa vitamini B kwenye mwili wa binadam kama chanzo cha kuota mapema kwa mvi.
Mimi mwenyewe nina chini ya umri wa miaka 34. Ila miezi michache iliyopita nilishangaa naanza kuzeeka. Nilikuwa nimekwisha ota mvi mbili. Kwa kweli sikuweza kuamini nimeanza kuzeeka at such a young age.
Katika kustudy chanzo cha mvi hizo nikafuatilia apporach ya wanasayansi na nikaanza kutumia vidonge vya kuongeza vitamin B.
Since then, baada ya kunyoa zile mvi hazijarudi tena mpaka leo.
Kama na wewe umeanza kuota mvi mapema, ina wekezana kabisa ukawa na upugngufu wa Vitamin B hivyo kutumia vidonge vya kuongeza vitamin B vinaweza vikapunguza kasi ya uotaji mvi au hata kuondoa mvi zilizokwisha anza kuota mapema.
Share taarifa hii na kijana yeyote aliyekwisha anza kuota mvi mapema ili zimsaidie.