Jinsi ya kuondoa mvi zilizoanza kuota mapema (ujanani)!

dozi yake inakuwa vipi na kwa siku ngapi?
 
Hayo mafuta kwenye nnya ni nini? Utumbo mpana for sale?
That one, you will have to ask her! Labda anafanya tangazo la mafuta... Huna haja ya kuipeleka akili yako mbali sana kupata majibu ya kila swali...
 
Hapo zamani za kale, wengi waliamini kuwa mvi ni dalili ya kuwa na hekima na pia mvi ni kiashiria cha uzee!
Wale waliopata mvi mapema ujanani wengine waliambiwa kuwa hizo ni 'mvi za ukoo'! Kitu ambacho sio cha kwel...
Ziache tu, magamba wakuogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…