Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habari wakuu,
Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara.
Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara.
Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la biashara kwenye TIN yake?