Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nenda TRA iliyo karibu nawe, ukiwa na TIN number, Kitambulisho cha NIDA na Leseni yako utahudumiwaHabari wakuu,
Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara.
Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara.
Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la biashara kwenye TIN yake?
Habari wakuu,
Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara.
Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara.
Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la biashara kwenye TIN yake?
Nenda TRA iliyo karibu nawe, ukiwa na TIN number, Kitambulisho cha NIDA na Leseni yako utahudumiwa
Shukrani sana mkuunipigie au nitext Whatsapp 0629706263, nikusaidie tin hailipiwi free kabisa
Hivi siyo kwamba TIN isiyolipiwa ni ile ambayo ipo kwa jina la mtu binafsi na ambayo pia siyo ya kibiashara na pale TIN hiyo unapotaka kuiweka katika business name lazima ukadiriwe mapato na ulipie kodi yake na kisha kupewa TIN yenye business name na tax clearance certificate? Tafadhali ufafanuzi hapo.nipigie au nitext Whatsapp 0629706263, nikusaidie tin hailipiwi free kabisa
Kwani siyo kwamba kiutaratibu kupata leseni inatakiwa kwanza uwe umepata TIN iliyo katikà business name, kukadiliwa mapato na kulipia kodi yake na kupewa tax clearance certificate?Nenda TRA iliyo karibu nawe, ukiwa na TIN number, Kitambulisho cha NIDA na Leseni yako utahudumiwa
Kwani siyo kwamba kiutaratibu kupata leseni inatakiwa kwanza uwe umepata TIN iliyo katikà business name, kukadiliwa mapato na kulipia kodi yake na kupewa tax clearance certificate?
nimemaanisha hakuna charges ya kazi mkuu, lkn ndiyo tin ikishakuwa ya biashara unapaswa kukadiriwa mapato, kulipia Kodi zote income na wht ya rent ili upate tax clearanceHivi siyo kwamba TIN isiyolipiwa ni ile ambayo ipo kwa jina la mtu binafsi na ambayo pia siyo ya kibiashara na pale TIN hiyo unapotaka kuiweka katika business name lazima ukadiriwe mapato na ulipie kodi yake na kisha kupewa TIN yenye business name na tax clearance certificate? Tafadhali ufafanuzi hapo.
siku hizi halmashauri na manispaa wanatoa leseni bila tax clearance unapoanza biashara mkuuKwani siyo kwamba kiutaratibu kupata leseni inatakiwa kwanza uwe umepata TIN iliyo katikà business name, kukadiliwa mapato na kulipia kodi yake na kupewa tax clearance certificate?
Weeeeeee kumbe, ya kweli haya mkuu?siku hizi halmashauri na manispaa wanatoa leseni bila tax clearance unapoanza biashara mkuu
Ndiyo kaka 0693410889 nikusaidieWeeeeeee kumbe, ya kweli haya mkuu?