Jinsi ya kuorganise business ideas

Penguin-1

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
406
Reaction score
65
Habari,
Natafuta template ya kuhifadhi na kutrack business ideas,
Unaweka business ideas,requirements,research ya soko,gharama za mwanzo,(cost kadhaa),estimation ya mtaji(of which inaweza kuwa calculated kutokana na gharama za mwanzo++),expected income(weekly/hourly etc),n.k

Kama una template inayoelekeana na ninachowaza please nisaidieni.
Nina mawazo mengi yananipa tabu kuyaorganize.
🙂
 
Matokeo ya Elimu ya kudesa. Yaani bila desa hamna kitu kinafanyika duh kaaziiii kweli kweli
 
unaweza kudownload kutoka net mbalimbali ila mara nyingi zinauzwa so u need a mastercard to buy.
halafu haziwezi tosheleza idea yako coz aliyebuni hakuwa na idea kama wewe.hivyo business idea lazima uiandike mwenyewe halafu peleka kwa wataalamu(business consultant) wakuandikie kitaalamu zaidi.
 
ulikuwa una maana ya kuandika 'business plan' au?
 
Mkuu unachotaka ni business Plan.

Ukweli ni kwamba hata ukipewa template bado kama hujui financial engineering inayotakiwa kufanyika
parameters mbali mbali zinazohitajika hata ukipewa template ni bure tu. Toa idea yako kwa wataalam wakusaidie
mathalani rank 3 ideas unazofikiri ziko vema discuss ni wataalamu watakupa mwelekeo mzuri.

GM Business development Consult Limited is one of the consulting firm wanaweza kukuongoza kwenye hilo
hawana gharama kubwa ukilinganisha na wengine niliokutana nao unaweza wachaki GM Consult | We are here to help you grow
 
ulikuwa una maana ya kuandika 'business plan' au?
Looks like
I have ideas ,some nimezifanyia researches,i know a lot of info about these ideas
Nataka some means of documenting
 

Nimeziona and some are free,sema bado naona kama sizielewi
Nikipata empty template ya mtu anayefanyia kazi ideas zake itanifaa sana
 
I have 20 ideas and am not interested with anyone's results
Shida yangu nashindwa kuziweka vizuri/proper way of documenting

Idea itabaki kuwa idea kama haitaendelezwa (ni kama mtu anaeota)

unapaswa kutoka hapo kwenye wazo kwenda kwenye wazo linalotekelezeka, utafikiaje hapo.

Moja wewe mwenyewe kaa chini andika wazo lako kwa kutumia logic ya kawaida kama ifuatavyo

what - unataka kufanya nini?? elezea wazo lako

where - unataka kulifanyia hilo wazo lako wapi? geographical location

For whom - Hilo wazo lako litazalisha huduma/ama bidhaa, je utamuuzia nani

Who - Nani atalitekeleza wazo lako (wewe mwenyewe, mtu mwingine n.k)

what are the costs - gharama uwekezaji (investment costs) na utazipataje


ukiweza kupata majibu ya hayo hapo sasa unatakiwa kudevelop detail analysis ambayo ndio business plan.
kama hujui narudia kama hujui kuandaa business plan usione shida kuwasiliana na wataalamu. kama unagopa
kuibiwa wazo lako kuna legal form za kubadilisha siri ambayo utaingia na consultant wako vinginevyo utakufa na mawazo yako 20 ambayo yatakua mawazo tu.

asante na pole kama nitakua nimetumia lugha ambayo hukuipenda.
 

Haswaa!!,
Nimeshaandika hizo vitu,implementation ndio bado
Upo sahihi kabisa,nachohitaji on top of that ni kitu kama template,i just fill in hizi info,
Mf kuna software zipo,au templates nataka ziwe in professional format
I hate the way i have written nahisi am missing some stuffs
 
Hilo tu ndugu yangu nitumie email yako nikupe template ambayo ni rahisi sana kuifuata kujaza ulichonacho
 
Nimeziona and some are free,sema bado naona kama sizielewi
Nikipata empty template ya mtu anayefanyia kazi ideas zake itanifaa sana

Km alivyoandika sangas hapo juu, si rahisi kupata template ambayo itaendana na matakwa yako yote. Kwakuwa kazi yenyewe ni yako binafsi, nakushauri utafute njia ya ku-organize idea yako ambayo itakuwa kwako rahisi kuielewa. Njia ya kuandika kwa mtiririko, km wanafunzi wanavyoandika ktk daftari, si nzuri k/sbb ubongo haupangi mambo yake kwa namna hiyo. Angalia mfano mzuri wa ku-organize ktk mchoro hapa chini. Nakushauri utafute kitabu kiitwacho IDEA MAPPING ili ujifunze njia ya kupanga ideas na mambo yako mengine. Jaribu pia kutumia MS Office OneNote 2007 labda inaweza kukudhi haja yako.

 
Last edited by a moderator:

Asante Mkuu kuna apps moja kwenye android inahusu issue za idea mapping something similar na ninachotaka ,wacha nifanye mchakato niinuune $3. Nitashare updates kama ipo super.
 
Yawezekana kabisa ukawa Entrepreneur nzuri, Pia unaweza tafuta course fupi ya entrepreneurship zinaweza kukusaidia sana in future. kana vile UDEC-UDSM Advanced Certificate Of Entrepreneurship. nadhani itakusaaidia pia..
 
Yawezekana kabisa ukawa Entrepreneur nzuri, Pia unaweza tafuta course fupi ya entrepreneurship zinaweza kukusaidia sana in future. kana vile UDEC-UDSM Advanced Certificate Of Entrepreneurship. nadhani itakusaaidia pia..

Hizi course zinafaa kwa watu wene Muelekeo wa Entreprenership tu na ambao wameisha anza, na kinacho fundishwa pale ni Business skill na si kumfanya mtu awe mjasirimali,

Mkuu nenda Pale Mzumbe Univesity wanatoa Degree na Master ya Entreprenership but wale wote wanao soma hiyo kosi lengo lao ni kujiriwa hakuna hata mmo mwenye lengo la kujiajiri
 
Hizi templates nimezipenda sana
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…