Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
hahahahaaha
Kitu gani?Okayyyy nmejifunza kitu
Hio ya kuchora on the sides kwanza,kutumia a matching pencil/liner sijui wanaitaje kiswahili, kupaka powder,Kitu gani?
Jaribu mwaya ulete feedbackHio ya kuchora on the sides kwanza,kutumia a matching pencil/liner sijui wanaitaje kiswahili, kupaka powder,
Ntajaribu nione
Kuna watu wanapaka si kwa kupenda bali kwa masharti ya mganga,Wa hapa kwetu utafikiri wananyonya damu za watu
hahaha, akipaka vizurrri,atakuwa mrembo,akipaka vibaya atakuwa mchawi!Looo picha zingine za vutia nyingine zaogofya
ndo, naona chagua rangi ambayo inakufaa ni muhimu saana!sura nyingine haziendani na haya marangi khaaa