Jinsi ya kupaka rangi ya mdomo


Siku ya kwenda kushinda ukweni unaweza ukatumia mtindo huu
 
Hio ya kuchora on the sides kwanza,kutumia a matching pencil/liner sijui wanaitaje kiswahili, kupaka powder,
Ntajaribu nione
Hiyo itakua ni concealer sio poda
 

Pale watoto mnapo wasahau katika swala la urembo, wanarekebisha wenyewe
 
Huyu dada ni mgonjwa wa akili na tumewahi kuishi nae jirani......mara nyingi alikuwa akitembea uchi au gauni tupu hali iliyompelekea kubakwa na vijana wa kihuni
wapi huko mvumbo anakopaikama huyu MAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…