Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Mlolongo mrefu sana huu. Simply, tumia browsee inaitwa Torch. Ipo kama Chrome. Yenyewe kila ukifungua video inakupa option ya kuipakua. Kwenye simu, videoder haina mpinzani. Maisha haya yana mambo mengi milolongo mirefu inachosha.
 
Kama huna uwezo wa kudownload hizo software.. au unatumia windows mobile... au computer... jus ingia youtube kwa kutumia browser usitumie app iliyopo kwenye simu.. then search video unayoitaka kisha ifungue ikiannza kuplay weka pozi nenda kwenye link ongeza ss kabla ya neno youtube mfano www.ssyoutube.com/xxxxx au m.ssyoutube.com/xxxxx then Go au enter itakupeleka moja kwa moja kwenye maelezo ya mdau mleta uzi..
 
Hiii ina mzunguko sana. La
Msingi download app inaitwa Save from net. Ni app ndogo sana size yake bt usefull kinoma, ina add sehem ya ku download kwenye browser yako pale unapo open video



The fastest free YouTube Downloader

Umesoma huo mlolongo?...ningeweza kusema tu download software inaitwa free YouTube downloader alafu copy na paste link za YouTube.

Kimsingi uelewa ni tofauti sana hasa ukiwa kwenye forum kubwa kama hizi, lakini pia sio mbaya kumwelekeza mtu hatua kwa hatua hasa kama atafanya mwenyewe bila msaada wowote.
 
Mh kwa uelewa wangu hii inamaanisha unataka kudownload youtube downloader ila bure, mfano ukaandika free vlc for windows seven download.
Mashaka yangu yanazidi anaposema unashusha quality ili kupunguza mb, labda anamaanisha mb in terms ya space kwenye device ambayo sidhani mtu anaetaka ishu qualty ataconsider sana.
 
Somo zuri
 
Kama huna uwezo wa kudownload hizo software.. au unatumia windows mobile... au computer... jus ingia youtube kwa kutumia browser usitumie app iliyopo kwenye simu.. then search video unayoitaka kisha ifungue ikiannza kuplay weka pozi nenda kwenye link ongeza ss kabla ya neno youtube mfano www.ssyoutube.com/xxxxx au m.ssyoutube.com/xxxxx then Go au enter itakupeleka moja kwa moja kwenye maelezo ya mdau mleta uzi..
 



Ni kweli hiyo software ya "free youtube downloder" ni bure. Lakini pia kwenye maelezo, nimesema kwamba hii ni kwa watumiaji wa kompyuta, sina ufahamu kwa wenye simu.

Sulal la mb ni muhimu sana kuli-consider kwa sababu; kwa mfano mimi huwa na-download sana documentaries kwenye youtube ambazo muda wake huwa ni lisaa limoja au masaa mawili.
Katika hali ya kawaida, youtube ya kupitia kwenye computer hufungua video (kama settings zako zipo kawaida na hujabadilisha) kulingana na quality zilizopo za video hiyo. Mfano video inaweza kuwa na: HD 1080 n.k
kila quality ina mb zake za ku-download.

Kwa mfano, video ya diamond ya HD1080 inaweza kuwa mb50; lakini video hiyo hiyo kwa quality ya 480 (ambayo si mbaya sana) itakua ni mb18...hii video ni dakika nne..sasa fikiria kama unataka ku-download documentary ya masaa mawili. Hivyo hivyo pia inawezekana unaangalia video ya quality ya 480 lakini ukataka ku-download quality ya juu (kama ipo) hii inasaidia

So, inategemea na mtu mwenyewe, ila ni vizuri watu wajue kwamba kuna maamuzi mengi zaidi ya ku-clik download.
 

Attachments

  • youtubeaudio.jpg
    15.5 KB · Views: 78
  • Capture.JPG
    49.1 KB · Views: 77
Ninekuelwa vema. Mkuu, hakun sehem ambaako hoja yako imepingwa, bt tuna changia kile kilichopo. Sikuanzisha debate wala kupinga ulicho andika.

Its a forum , hope tupo sawa
 
Mkuu samahani naomba kuuliza heading inaishia na neno bure
Lakini kwenye maelezo huku chini inaonekana kuna matumizi ya MB
swali hiyo bure inamaana video za youtube zinauzwa? Au bure kwamaana ya kusha video bila bundle?
***
My take kama kuna matumizi ya mb tunaomba hilo neno bure ulifute, na hizo other methods za wachangiaji uziunge mkono.
 

Yani haulipii software.
 
Tumia snap tube ingia opera min search download. And enjoy it
 
Huna haja ya kujaza pc yako na maprogram, fungua link ya video unayotaka kisha baada ya www. Weka ss then link..

Mfano kama link ya video ni

www.dsgjdkkahie.com

Ongeza ss hivi

www.ssdsgjkkahie.com

Itakupeleka kwenye page utakayodownload quality unyotaka iwe audio au video ya hiyo videobuliyochagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…