ninayo internet dowloder manager.ila siaui jinsi ya kuitumia.Kila ninapo jaribu yanatokea file kibao harafu kila linaloandika complete linanisumbua kwani ukifungua unakuta picha au mambo mengine ambayo siyahitaji.Nahitaji niambiwe jinsi ya kudownload youtube video kwa kutumia hiyo programu niliyonayo.Mh!!naomba nimtambulishe kwako bwana mdogo anaitwa IDMAu Internet downloader Manager...Baada ya kuangaika kote kutumia software zote na link kibao kutaka nyimbo za youtube na mitandaon..ni kakutana na hii kitu itakusaidia sana tena ina uwezo wa kugrab site nzima. ina resume ina weza set speed na kadharika!!http://rapidshare.com/files/381769204/IDM.5.19.2.rartangu niweke hii sijatafuta tena software nyingine, japo hata hizo walizo taja wakuu zote zafanya same thing.cheers!!
Mh!!
naomba nimtambulishe kwako bwana mdogo anaitwa IDM
Au Internet downloader Manager...
Baada ya kuangaika kote kutumia software zote na link kibao kutaka nyimbo za youtube na mitandaon..
ni kakutana na hii kitu itakusaidia sana tena ina uwezo wa kugrab site nzima.
ina resume ina weza set speed na kadharika!!
http://rapidshare.com/files/381769204/IDM.5.19.2.rar
tangu niweke hii sijatafuta tena software nyingine, japo hata hizo walizo taja wakuu zote zafanya same thing.
cheers!!
Siku hizi real player haikubali ku install nadhani mpaka ulipieUkiwa na real player unaweza kudownload kirahisi...au tafuta youtube downloader...
Download realplayer for free press here Download RealPlayer 14.0.4.652 - FileHippo.com Polisi usisahau kubonyeza neno (Thanks) <span style="color:#0000cd;">Siku hizi real player haikubali ku install nadhani mpaka ulipie
Ninatatizo kwenya PC yangu. nikitaka ku download chochote kutoka You tube nashindwa pamoja na kuwa na you tube down-loader, real player,DAP down-loader. nifanye nini?
Ninatatizo kwenya PC yangu. nikitaka ku download chochote kutoka You tube nashindwa pamoja na kuwa na you tube down-loader, real player,DAP down-loader. nifanye nini?