Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Daa wee jamaa mtu mwema sana
 
Mm nime download leo mpaka nahisi wanaweza kunipa ban[emoji23][emoji23]
 
Am not sure kama iyo njia inafanya kaz bila app yao.

Kwa kifupi ingia yputube kupitia browser yako then ingia www.youtube.com

Nenda kwenye search box na utype keywords kwa ajili ya video unayo taka

Baada ya machaguo mengi kutokea chagua video unayo taka

Baada ya video kuanza kuplay tuu, nenda kwenye address bar ambapo utakuta kuna link yenye mfano huu

http://www.m.youtube.com/hsjn17Tr

Fanya kitu kifuatacho

Katika hiyo link ongeza herufi SS nyuma ya neno youtube

So itasomeka Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!

Then bonyeza enter au ok kuruhusu reloading ya page then utaona button ya kudownload iyo video na option mbalimbali kama za resolution na video format
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…