Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Tube mate is the best aisee. Ila huwa haipo Appstore fanya kuigoogle to (tafuta latest version).
 
Wakuu

Japo ni out of topic,please kama kuna mtu anajua vitu gan huhitajika katika kutafsiri movie

Mfano hawa djs wanaoingiza swahili kwenye movie

Swali langu ni devices i must posses to run it
 
Njia ya 5 ndio nzuri sana, na ndo naitumia
6. Keepdownloading. Ingia google search keepdownloading. Ikija click hapo itakuja page. Copy url ya youtube video kisha ipaste kwenye kibox kilichowazi. Click hapo watakuletea format tofauti tofauti za hiyo video. Chagua inayokufaa, download. AU km unavyofanya kweny save from net ya kuandika ''ss'' basi weka vd (ni shortcut ya keepdownloading). Hii njia kwangu ni bora na huwa natumia
 
Pamoja.
 
Ngoja nijaribu hii inaonekana nzuri sana
 
Naomba msaada ni App gani iko poa ku pakua videos toka YouTube nataka niipate ya free kupitia Google Play store
Mwenye Idea Pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…