Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Haloo wana jamvi kwa mwenye ufahamu jinsi ya ku install app ya ku download video kwenye cm ya iPhone 8+ Naomba tafadhali nilo jaribu nyingi zinagoma

Akhsante
 
tafuta fox fm ipo app store hiyo inadownload both audio and video

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Kama unatumia android tumia videoder



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
fungua web inaitwa xomaci wakati unaplay YouTube video unacopy link unaenda kuipaste kwenye xomaci pasting space then unadownload. Iko clear Sana
Na kwenye PC wakuu naweza tumia application gani ku download
 
Telegram ina kila kitu mkuu ka unayo! Kuna bot inafanya ww unachotaka ifanye... Kudownload videos & audio za utube kwa urahisi sana..
 
Vide oder mbona jwangu mm ingoma kwenye sim na pc kote inagoma...nikitaka kudowload inaniambia video oder imefungiwa kudowlowd kutoka you tube
 
HII NIMEIPENDA CHIEF VERY SIMPLE AND FAST
 
Na kwenye PC wakuu naweza tumia application gani ku download
Fuata haya maelekezo ya ndugu SALOK ni fast and very simple
 
Vide oder mbona jwangu mm ingoma kwenye sim na pc kote inagoma...nikitaka kudowload inaniambia video oder imefungiwa kudowlowd kutoka you tube
Nenda kwenye browser unayotumia then click hiyo video unayataka kuplay!
Pale juu ya video utaona kuna zile URL za hiyo video ......mbele ya neno YouTube weka "pp"
Yaani itakuwa******.youtubepp.com
Malizia kuclick kidude cha search utadownload kiulaini
 
Habari za siku nashindwa ku download nyimbo za YouTube kwenye iPhone 7 Plus nilikua nimezoea kwenye simu za Android najua wataalamu apa wapo Msaada wandugu
 
video za vevo nimejaribu kwa njia hiyo nimeshindwa...kwa anae weza naomba anielekeze ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…