Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Mkuu heshima kwako aiseee.

Nimedownload kitu saafi kabisaaa.

Na vipi hakuna app yeyote ya kupunguza ukubwa wa MB's
 
savefrom.net ndio njia rahisi kwangu ambaye sipendi kujaza apps nyingi kwenye device
 
Vidmate ndo baba lao
 
Mzunguko wote huu wa nn wakati ukiwa na tubemate, videoder unaingia na kudownload fasta bila mizunguko wala usumbufu na video inaingia kwenye simu moja kwa moja
 
Mzunguko wote huu wa nn wakati ukiwa na tubemate, videoder unaingia na kudownload fasta bila mizunguko wala usumbufu na video inaingia kwenye simu moja kwa moja
Videoder naipata wapi..?
 
Inakataa hii mkuu sasa hivi.
Ummy pia inagoma
Yaani naona google wanazipiga bunn
Acha uongo na kiburi unaposaidiwa! VIDEODER imeanza kugoma lini? Sema hujaweza kutumia omba msaada wa maelekezo...mm natumia hyo kila siku kila na wakati napotaka download video youtube
 
Teh.... Mkuu videoder ina ugumu gani kutumia? Si ni swala la kucopy link na kwenda kupaste?

Sasa link inacatchiwa fresh ila kuidownload ndio inafeli ina interrupt. Na nina softwares mbili zote zinafeli na mwanzo zilikuwa zinafanya kazi fresh.

Kote nilikuwa ikinizingua natumia njia y online nayo hivyo hivyo kote nakuta bunn.
Acha uongo na kiburi unaposaidiwa! VIDEODER imeanza kugoma lini? Sema hujaweza kutumia omba msaada wa maelekezo...mm natumia hyo kila siku kila na wakati napotaka download video youtube
 
Kifaa gani unatumia? Kama ni simu ni aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…