Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

Kwenye smartphone download Moviebox (sijajuwa kama inapatikana kwa ios pia) , ni kama netflix ila yenyewe ni free support subtitles na quality to 1080 (inadepend na movie), haipoatikan kwenye pc

Kwa tovuti pia check thenetnaija.com, fzmovies.net unaweza kupakua movie upto 1080 + subs (unadownload kivyake, mule mule ndani ya website)though kunakuwaga na adds nyingi wakati wa kudownload (inafungua tab nyingine alafu inaenda kwenye add, wewe utarudi kwenye tab husika mpaka udownload movie unayotaka)

Kwa korean + japanese +chinese movies napendeleaga dramacool.rs Nayo inasupport up to 1080 + built in subtitles ijapokuwa adds zipo nyingi

NB: kupata latest pale inapotoka tu mostly kwa hizi site za free ni almost impossible, sisi tunasubiri almost a month ndo inakuwa uploaded kwa quality nzuri kama unataka latest subscribe netflix tu mkuu
 
Hakikisha pia una uTorrent ndio inafanya kazi vizuri🙌
 
Attachments

  • Screenshot_20240723-183304.png
    Screenshot_20240723-183304.png
    1.6 MB · Views: 14
Kama unatumia laptop weka android Emulator yoyote, then weka hizi App mbili,
1- OnStream
2-Splayer
3-Nishukuru baadae.
 
Hua natumia IMDb.com au Yts.mx kwa Muvi zenye quality kuanzia 720p 1080p 2160p 4K

Kama unataka movie zenye quality ya kawaida 360p au MKV....
Tumia nkiri.com.

Movie zote mpya zinawekwa umo
Screenshot_20240725-202410~2.png
Screenshot_20240725-202746~2.png
 
Hua natumia IMDb.com au Yts.mx kwa Muvi zenye quality kuanzia 720p 1080p 2160p 4K

Kama unataka movie zenye quality ya kawaida 360p au MKV....
Tumia nkiri.com.

Movie zote mpya zinawekwa umo
View attachment 3051894View attachment 3051897
Kaka kila Napo fikia hatua ya kupakua nakuwa recommended na VPN...basi hata nikipakua VPN nakuwa trials naishia hapo
 
Wakuu mwenye kuweka muongozo wa njia websites za kupakua latest move for free ndugu zangu
 
Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free...
Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it...
Natanguliza shkran za Dhati.
pakua hivi vitu viwili visaidiane.yakwanza itakusaidia kuona movie unayoitaka.yapili itamsaidia kuanza kupakua movie hiyo. kama unatumia simu hakikisha una frash ya OTG.kama huna frash ya OTG Itakubidi upate waya wa OTG utakua unakussidia kutoa kwenye simu kwenda kwenye frash. wakati unapakua hakikisha unachagua ukubwa wa movie wa 720p. yenye ukubwa 700mb na kuendelea. ukichagua ukubwa wa chini ya 600mb inaweza isikuoneshe kama utaenda kuangalia kwenye tv.
 
Attachments

  • Screenshot_20240810-185600_Google Play Store.jpg
    Screenshot_20240810-185600_Google Play Store.jpg
    22.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240810-185910_Google Play Store.jpg
    Screenshot_20240810-185910_Google Play Store.jpg
    86.4 KB · Views: 7
pakua hivi vitu viwili visaidiane.yakwanza itakusaidia kuona movie unayoitaka.yapili itamsaidia kuanza kupakua movie hiyo. kama unatumia simu hakikisha una frash ya OTG.kama huna frash ya OTG Itakubidi upate waya wa OTG utakua unakussidia kutoa kwenye simu kwenda kwenye frash. wakati unapakua hakikisha unachagua ukubwa wa movie wa 720p. yenye ukubwa 700mb na kuendelea. ukichagua ukubwa wa chini ya 600mb inaweza isikuoneshe kama utaenda kuangalia kwenye tv.
Sorry brother ungekuwa Kwa windows laptop ingekuwa poaa maana huku nilipo ntumia Router direct to the laptop SIM situmii
 
Wakuu mwenye kuweka muongozo wa njia websites za kupakua latest move for free ndugu zangu
Kwangu mimi NetNaija ni the best japo Kuna baadhi ya movies huwa hawaweki au huwa wanachelewa kuweka.
Ina movies ambazo ukubwa wake hautishi. Zipo hadi za 291MB japo zipo za 500+ pia.
Nilipoifahamu hii niliachana kabisa na Yts na Utorrent sijui Bitorrent
 
Back
Top Bottom