General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Naomba link ya emuletor yoyoteKama unatumia laptop weka android Emulator yoyote, then weka hizi App mbili,
1- OnStream
2-Splayer
3-Nishukuru baadae.
Search Bluestack kutoka www.getintopc.comNaomba link ya emuletor yoyote
BlueStacks inafanya PC kuwa nzito.Search Bluestack kutoka www.getintopc.com
Kaka kila Napo fikia hatua ya kupakua nakuwa recommended na VPN...basi hata nikipakua VPN nakuwa trials naishia hapoHua natumia IMDb.com au Yts.mx kwa Muvi zenye quality kuanzia 720p 1080p 2160p 4K
Kama unataka movie zenye quality ya kawaida 360p au MKV....
Tumia nkiri.com.
Movie zote mpya zinawekwa umo
View attachment 3051894View attachment 3051897
Wabarikiwe waliobuni hili JUMBA TUNALOKUTANIA!! (JF)Naomba link ya emuletor yoyote
pakua hivi vitu viwili visaidiane.yakwanza itakusaidia kuona movie unayoitaka.yapili itamsaidia kuanza kupakua movie hiyo. kama unatumia simu hakikisha una frash ya OTG.kama huna frash ya OTG Itakubidi upate waya wa OTG utakua unakussidia kutoa kwenye simu kwenda kwenye frash. wakati unapakua hakikisha unachagua ukubwa wa movie wa 720p. yenye ukubwa 700mb na kuendelea. ukichagua ukubwa wa chini ya 600mb inaweza isikuoneshe kama utaenda kuangalia kwenye tv.Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free...
Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it...
Natanguliza shkran za Dhati.
Sorry brother ungekuwa Kwa windows laptop ingekuwa poaa maana huku nilipo ntumia Router direct to the laptop SIM situmiipakua hivi vitu viwili visaidiane.yakwanza itakusaidia kuona movie unayoitaka.yapili itamsaidia kuanza kupakua movie hiyo. kama unatumia simu hakikisha una frash ya OTG.kama huna frash ya OTG Itakubidi upate waya wa OTG utakua unakussidia kutoa kwenye simu kwenda kwenye frash. wakati unapakua hakikisha unachagua ukubwa wa movie wa 720p. yenye ukubwa 700mb na kuendelea. ukichagua ukubwa wa chini ya 600mb inaweza isikuoneshe kama utaenda kuangalia kwenye tv.
Browser gani unatumia?Kaka kila Napo fikia hatua ya kupakua nakuwa recommended na VPN...basi hata nikipakua VPN nakuwa trials naishia hapo
Jaribu ku update Edge to new version, Tumia hyo .Natumia
Chrome
Opera
Kwangu mimi NetNaija ni the best japo Kuna baadhi ya movies huwa hawaweki au huwa wanachelewa kuweka.Wakuu mwenye kuweka muongozo wa njia websites za kupakua latest move for free ndugu zangu