Jinsi ya kupambika ukiwa na urefu chini ya futi 5.7' [ 170cm +]

Hakuna mtu kashauriwa hii ni mada izo ni idea za watu wengi binafsi zimenibadilisha na wewe karibu utupe idea zako na kama utapenda muonekano wako pia kua huru karibu utotoe ushamba mkuu
We mwarusha mnapenda sana kuvaa unataka uongezewe ujanja wa kuvaa tafuta hela utapendeza tuu.
 
Shida sisi wafupi alafu wenye vitambi! Tunahangaika sana na mavazi
 
Hapo kwenye size ya suruali,upana hujaweka sawa. Umewashauri wasivae suruali za kubanaβ€”je, upana uweje? Kuna jamaa yangu bado anavaa zile pana za Kisabato na chini zimepindwa. Fikiria yeye ni mfupi. Urefu hajali,pale mwishoni chini suruali inajikunjakunja utasema ndo ameshuka leo pale stendi ya Magufuli.

Kwakuwa umewaambia shati liwe slimfit,ni lazima suruali iwe slim fit pia. Huwezi changanya regular na slim fit. Ndiyo wengine utamkuta na shati slim fit ,suruali regular. Anakuwa kama piramidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…