Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 712 Reaction score 1,748 Aug 8, 2023 #1 Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Aug 9, 2023 #2 Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya.
Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 712 Reaction score 1,748 Aug 10, 2023 Thread starter #3 Baba Rhobi said: Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya. Click to expand... Wana update vipi
Baba Rhobi said: Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya. Click to expand... Wana update vipi
Call m3 Anwar JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 290 Reaction score 504 Aug 10, 2023 #4 Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Uwe na Gb kama 9 hv za kuchezea. Kisha zama humu www.oceanofgames.com Utalikuta.
Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Uwe na Gb kama 9 hv za kuchezea. Kisha zama humu www.oceanofgames.com Utalikuta.
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Aug 10, 2023 #5 Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee.
Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee.
Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 712 Reaction score 1,748 Aug 10, 2023 Thread starter #6 Baba Rhobi said: Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee. Click to expand... GB ngapi zinahitajika
Baba Rhobi said: Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee. Click to expand... GB ngapi zinahitajika