Jinsi ya kupata aina ya kuku (Jogoo au Mtetea)

Jinsi ya kupata aina ya kuku (Jogoo au Mtetea)

nemulo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,589
Reaction score
440
Habarini wana JF,

Tafadhali ninaomba nijuzwe jinsi ya kufuga kuku na kuweza kuwatotolesha aina/jinsia ninayoitaka,mfano kama nina kuku 50 na iwapo ninataka vifaranga vyote viwe majogoo tupu,je nitafanyaje?

Pia kama ninachagua mayai ya kununua nitatambuaje kuwa hili litatotoa jogoo au mtetea?

Kwa anayejua naomba anisaidie katika hilo.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom