Habari wakubwa?
Naomba na mimi niwe mmoja wa akaunti ya prisoner@Jamiiforums.com nitafurahi sana Je nifanyeje? Naombe wenye kujua anielekeze. asante
Nashukuru sana Mkubwa sasa Kwani jamaa si wameiona hii meseji nitawasiliana nao kivipi? maana kila kitu kipo hapa JAMVINI
kheee nilimaanisha waandikie hao Idimi alowataja hapo juu Privae Messege aka PM!!!!Pm
habari
Pm
habari
hahahah heheeee, Prisoner leo umenipa raha... maana umefuata maelekezo kama yalivyosema!!!!
Its good BHT katoa maelekezo zaidi
Nashukuru sana Mkubwa sasa Kwani jamaa si wameiona hii meseji nitawasiliana nao kivipi? maana kila kitu kipo hapa JAMVINI
Ndg Prisoner,
Samahani kwa kutokukupa maelekezo ya kutosha tangu mwanzo, nilijua ww ni mwenyeji kama sie wengine, pole sana. Fanya hivi:-
Tuma email kwa kutumia akaunti yako yoyote ile, kwenda kwa 'Invisible@jamiiforums.com'. Mweleze kwamba ww ni mwanachama wa JF na unaitwa 'Prisoner', uombe akupe email address ya jina lako la hapa JF. Yeye atakupa maelekezo yote muhimu.
Ni Hilo tu.
Naomba msamaha kwa tabia yangu mbaya,
Nimechekeshwa sana na mazungumzo ya idimi na prisoner..
yaani hadi machozi yamenitoka, wenzangu walipotaka kujua nina cheka nini, nikawaonyesha, wao ndio wamecheka kweli kweli.
Hakika ljumaa ya leo imekuwa nzuri sana kwangu.