navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE