navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Ni jambo la kusikitisha kama mwalimu ndo anauliza hilo swali.Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni PHYSICS na CHEMISTRY na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
Kama nawewe huelewi unapiga kimya tu mkuu, haina haja ya kukaza ubongo.Ni jambo la kusikitisha kama mwalimu ndo anauliza hilo swali.
Yaani walimu ndo wanayo majibu sahihi ili wawasaidie watoto wetu
Sio kwamba sielewi, ila professionally mwalimu ndio anatakiwa ku guide watu katika nyanja hiyo(yaani mtu asome hiki au kile), sasa yeye akianza kuuliza hivi wanafunzi wamuulize nani??Kama nawewe huelewi unapiga kimya tu mkuu, haina haja ya kukaza ubongo.
SHAME ON YOU.
Mwalimu wa sekondar afu hajui ,, madhara ya kuibia mtihani ndo hayaWakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni PHYSICS na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
hapa tz walimu hawana tofaut na boda boda kwahyo usishangae mwalimu kuuliza maswali yampasayo mwanafunzi kuuliza.Sio kwamba sielewi, ila professionally mwalimu ndio anatakiwa ku guide watu katika nyanja hiyo(yaani mtu asome hiki au kile), sasa yeye akianza kuuliza hivi wanafunzi wamuulize nani??
Halafu hapo kwenye kukaza ubongo nadhani wewe na mwalimu ndo mnaongoza kukaza ubongo.
Inashangaza kwa kweli.hapa tz walimu hawana tofaut na boda boda kwahyo usishangae mwalimu kuuliza maswali yampasayo mwanafunzi kuuliza.
alaf kama hujastuka mleta mada ndo mwalimu mwenyewe na katumia njia kama anamuulizia mtu mwingine ili msije mkamrushia maneno asiyotarajia[emoji41]
Kwanini unamsingizia mwenzako wakati muhusika ni wewe?Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
Naona mashambulizi tupu. Nafikiri ni vizuri uwasiliane na nacte kwani hapa sioni kama utapata msaada wowote. Au uende kwenye chuo kimoja wapo uulizie.Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
Wew mwalimu wa mchongo kutoka jalalani aseeWakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
Na huyo mwamba mwalimu ni weweWakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.
Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI
na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM.
Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma ni upi, je unaomba toka tamisemi au barua unatambaza vyuo husika.?
Na je kwa bongo, ni vyuo vipi vinatoa huduma hiyo ya masomo tajwa hapo juu katika ngazi ya diploma ambavyo ni vya serikali,?
MSAADA TAFAFHARI KWA ANAEFAHAMU...ASANTEE
Mwalimu mzuri wa chuo ni yule anayeanzia malezi msingi kisha anaenda juu.Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata.