Jinsi ya kupata chance ya kufundisha vyuo vya kati kama diploma

Vyuo vya ualimu vipo chini ya Wizara ya Elimu na sio TAMISEMI. Mwajiri wa walimu wa vyuo hivyo ni katibu mkuu wizara ya Elimu.
 
Na wewe pia ni pimbi, huwezi kufanya generalization namna hiyo. Kama mwalimu mmoja hajui haiwezekani ujumuishe walimu wote. Boda boda na walimu ni watu wa aina mbili tofauti, walimu ni wanataaluma na boda boda ni wajasiliamali wa usafiri.
Anyways ! Utaratibu ni kuandika barua ya kuomba transfer ya idara kwenda kwa katibu wizara ya elimu kupitia kwa katibu wizara ya TAMISEMI, mkurugenzi mtendaji (W), Afisa Elimu (W), Mkuu wa shule. Then kama ikama na sifa zinaruhusu katibu wa wizara anakupangia chuo chochote chenye uhitaji.
Pili, nafasi za transfer vacancy huwa zinatangazwa, hivyo zikitoka unaomba .

Quote Reply
Report Edit
 
Huwa zinatumika njia gani kutangaza hizi nafasi Mkuu???
 
Sijawahi kushtukia huu mchongo utushtue sasa siku moja zinazotangazwa chief
Usisubiri zitangazwe. Wewe tafuta taarifa sahihi kuanzia chuo husika. Andika maombi hata kwa lengo la secondment
 
Sawa mwalimu
 
Mwalimu unakuja na tusi kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndio walimu wakufundisha watotk wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikisema waalimu hawajielewi mnakaza fuvu mwalimu akili yake kama boda boda tu.
 
Mwalimu unakuja na tusi kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndio walimu wakufundisha watotk wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikisema waalimu hawajielewi mnakaza fuvu mwalimu akili yake kama boda boda tu.
Wewe ni aina ya watu ambao ni mapimbi, umefundishwa na walimu then unawadharau kama sio upimbi nini? Na watu kama nyinyi hata elimu yenyewe hamna ya maana PUMBAVU
 
Wewe ni aina ya watu ambao ni mapimbi, umefundishwa na walimu then unawadharau kama sio upimbi nini? Na watu kama nyinyi hata elimu yenyewe hamna ya maana PUMBAVU
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimefundishwa na walimu ila sio waalimu kama ww wasio na mbele wala nyuma usitukane ticha ww ni local teacher ndio maana mpka now unakatwa cwt na haustuki mwalimu mfuata mkumbo kachangie hela za mwenge aftano tano zenu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ngoja mikusaidie tu wewe Mwalimu unaejjifanya umetumwa kuulizia . Kuwa na GPA uliyotanguliza eti kutoka UDSM siyo kigezo kwa vyuo vya ualimu hata km una 2.8 na umesoma chuo kikuu chochote kinachotambilija na TCU km una sifa utachukuliwa tu.

Suala liko hivi.
1) Ni kweli nafasi za kufundisha huko huwa hazitangazwi. Hata km ni kwenda kufundisha grade A hawatangazi.
2) Nafasi za kufundisha huko wahitimu huchaghuliwa direct baada ya kuhitimu.
3) Kwa sasa hiyo namba 2 haitumiki. Kwa sasa wanachukuwa Walimu kutoka Msingi. Au Sekondari wenye vigezo. Mfano uwe umepitia Grade A au Diploma kabla ya kufika chuo kikuu. Au uwe umeenda moja kwa moja chuo kikuu na kusomea Bachelor of Education (BED) na kukidhi kigezo namba 4 - 5 hapo chini. Kwa hiyo hata km una GPA ya 5.0 kutoka Harvard hawakuchukui ukiachilia mbali hiyo Yako ya UDSM unayotamba nayo.

4) Sifa nyingine, uwe umefanya kazi ya Ualimu siyo chini ya miaka 6 na kuendelea.

5) Pia uwe na mshahara kuanzia TGTS E na kuendelea.

Na mashart mengine kibao. Vipi sasa mpaka hapo sifa hizo unazo?

NB:
Km hujakidhi kigezo namba 3 ( kupitia Grade A au Diploma au kusomea BED) basi wewe siyo Mwalimu hodari Wala mahili. Walimu wote ambao hawakupitia kigezo namba 3 wako 50/50 yani nusu Walimu nusu siyo Walimu. Huo ndiyo ukweli.

Mwisho.
Unapokuwa unatafuta msaada usitangulize sifa za hovyo km GPA au chuo ulichosoma. Niliwahi kusema hapa kuwa Vijana wanaomaliza UDSM kwa sasa ni wa kawaida sn na wengi wao hakuna kitu wanebaki kujivuna tu eti nimesoma UDSM lakini ktk kazi ni weupe kabisa kichwani. Miaka ya huko nyuma UDSM ndiyo kilikuwa chuo Cha kutetemesha lakini baada ya kudahiliwa hawa vijana wa sasa wavaa milegezo kimebaki jina tu.

Km una shida yoyote nifuate dm ila acha majivuno na degree za 3.5 tena eti ya UDSM utapishana na gari la mshahara kijana wangu.
 
[emoji16][emoji16]Mkuu umetisha[emoji120], Madini mengi na Kichambo juu... shukrani mkuu nimekupata..

Kwahyo BaED hata nifanyaje siwez fundisha chuo cha kati,hata kama nitaenda chukua master?
 
[emoji16][emoji16]Mkuu umetisha[emoji120], Madini mengi na Kichambo juu... shukrani mkuu nimekupata..

Kwahyo BaED hata nifanyaje siwez fundisha chuo cha kati,hata kama nitaenda chukua master?
Ndiyo hata ukiwa na honour ya Harvard
 
[emoji16][emoji16]Mkuu umetisha[emoji120], Madini mengi na Kichambo juu... shukrani mkuu nimekupata..

Kwahyo BaED hata nifanyaje siwez fundisha chuo cha kati,hata kama nitaenda chukua master?
Hata km ukiwa na PhD hupati
 
[emoji16][emoji16]Mkuu umetisha[emoji120], Madini mengi na Kichambo juu... shukrani mkuu nimekupata..

Kwahyo BaED hata nifanyaje siwez fundisha chuo cha kati,hata kama nitaenda chukua master?
Mwaka Jana mwezi wa 8 walichukuliwa Walimu 83 kutoka Msingi na Sekondari waliokidhi hivyo vigezo hapo juu. Kwa sasa inasubiliwa bajeti mpya.
 
Dรบuuu hii ajabu yaani mwalimu asijui vyuo vya serikali vya diploma na ni muajiriwa wa serikali afu kasoma UDSM Yaani ana degree๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mbaya zaidi ata smart phone hana ๐Ÿ˜
Anyway nikusaidie tu najua wewe ndo muhitaji wa kufahamu ingia kwenye tovuti ya wizara ya elimu utakuta orodha ya vyuo vya serikali vya diploma
Kuhusu kuhamia kama wewe ni muajiriwa vile viko chini ya katibu mkuu wa wizara ya elimu ,hivyo utaomba kwake kuhamia huko kama una vigezo
 
Kwani ukisema ni wewe tutakuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ