Jinsi ya kupata Facebook bure kwenye Tigo Kitochi 4G

Patallo95

Senior Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
199
Reaction score
129
Heshima kwenu.

Mimi natumia kitochi cha Tigo. Naomba usaidizi wa kuwezesha Facebook bure kwa miezi 6 kwa anayefahamu. Niliagiza simu kwa hiyo sikuweza kupata nafasi ya kuwekewa ofa zao.

WA-IMG-20191227-c017540d.jpg
 
Ndio natumia pia kuwasilia na kupost huu uzi hapa jf kama ulikuwa hujajua
 
nisaidie kuhusu ofa ya facebook
Skiza nikupe mautundu, hiyo offa ina depend kama ulinunua hiyo simu kwa njia ya tigo pesa

Usitegemee kupata offa hiyo kama ulinunua simu kwa pesa taslimu mkononi

Kwasababu line iliyotumika kufanya muamala ndiyo ambayo imepewa access ya hicho kifurushi cha promo

Na ili uweze kupata hiyo offa ni mpaka ujiunge kifurushi chochote chenye thamani ya 1000 kwenye hiyo line iliyofanya muamala wakununua hiyo simu

Hakuna mautundu zaidi ya hapo

It's Scars
 
kama usemayo nikweli basi si fungu langu maana nimenunua kwa keshi
 
Back
Top Bottom