Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Watu wengi hususan vijana wanapenda kupata mafanikio ya fasta fasta. Si vibaya sana japo inabidi uwe mbunifu sana. Leo nitawapa mbinu itakayofanya upate $5,000 kwa saa 1 bila jasho.
MAHITAJI:
1. Simu ya mkononi.
2. Kifurushi.
3. Account ya bank (Mkombozi bank)
Ukiwa na vitu hivi vitatubasi utakuwa umewini.
Chakufanya utaandika neno ESCROW acha nafac andika VIJISENTI halafu tuma kwenda 15890 utaona maajabu. Usibishe kama hujajaribu maana wabongo hatuaminiani. wewe fanya tuu ila usinisahau.

Mtoa mada kashakufagaNIMEJARIBU hakuna kitu mkuu
Jaribu tena, itakua network tu inazinguaNIMEJARIBU hakuna kitu mkuu
sawa sawaJaribu tena, itakua network tu inazingua