Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data.

Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
 
Nenda Vodacom shops au tigo au Airtel ama halote au kama mitaa Yako unaiyo ishi kama zimepita cable za ttcl
Hao wanazo router za unlimited ila zinatofautia Bei angalia kwako nafuu ni ipi kwa maitaji yako
 
Mwenzako anataka za free
 
Back
Top Bottom