Jinsi ya kupata fully funded Scholarship ya kusoma ndani na nje ya Tanzania

Jinsi ya kupata fully funded Scholarship ya kusoma ndani na nje ya Tanzania

big man 26

Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
10
Reaction score
2
Wakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu.

1. Vigezo vyake vimekaaje?
2. Jinsi ya kuapply
 
Sikolashipu ya kitu gani mkuu?? Una taka kwenda kuuza koroshow nje??
 
Mkuu ni vizur usome vizur thread kabda hujakulupuka kujib maan main title imejieleza kabisa
Tutaelewana tu... Mzee... Hujui hitaji lako ndio maana huu Uzi bado una dema dema... Zipo nyuzi nyingi za ufadhiri ndani au nje ya nchi...

Ukiulizwa nn una hitaji una dai tume kurupuka, nikweli ume tukurupusha kweli kweli...

Subiria utapata ya ndani na nje ya nchi... Kuwa makini mzee... Uta nyonyolewa...
 
IMG_20191117_150248.jpg

Haya watafute hao watu na mawasiliano yao hayo...

Kwanza anza kujua mahitaji yanayo itajika kusoma ktk hiyo nchi ili uandae na unapo wasiliana na watanzania wenzio hao wasije kukuona mzigo...

Ingia ubalozi wa uholanzi wana Nosaf kama sija kosea, ufadhili kwa nchi za sadc...

Zipo nyingi pambana utazipata...
 
View attachment 1265598

Asante sana mkuu na Mungu akubariki
 
Wakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu.

1. Vigezo vyake vimekaaje?
2. Jinsi ya kuapply
+14705751257 muulize huyu anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom