big man 26
Member
- Aug 18, 2017
- 10
- 2
Ccm wengi akili zao ziko hivi sishangai kwakweli[emoji2956][emoji2956]Sikolashipu ya kitu gani mkuu?? Una taka kwenda kuuza koroshow nje??
Ebu tueleze wewe ambaye sio sisiemu... Ana taka sikolashipu yakitu gani? Au na wewe unataka sikolashipu?Ccm wengi akili zao ziko hivi sishangai kwakweli[emoji2956][emoji2956]
Mkuu ni vizur usome vizur thread kabda hujakulupuka kujib maan main title imejieleza kabisaSikolashipu ya kitu gani mkuu?? Una taka kwenda kuuza koroshow nje??
Tutaelewana tu... Mzee... Hujui hitaji lako ndio maana huu Uzi bado una dema dema... Zipo nyuzi nyingi za ufadhiri ndani au nje ya nchi...Mkuu ni vizur usome vizur thread kabda hujakulupuka kujib maan main title imejieleza kabisa
Asante sana mkuu na Mungu akubarikiView attachment 1265598
Haya watafute hao watu na mawasiliano yao hayo...
Kwanza anza kujua mahitaji yanayo itajika kusoma ktk hiyo nchi ili uandae na unapo wasiliana na watanzania wenzio hao wasije kukuona mzigo...
Ingia ubalozi wa uholanzi wana Nosaf kama sija kosea, ufadhili kwa nchi za sadc...
Zipo nyingi pambana utazipata...
+14705751257 muulize huyu anaweza kukusaidiaWakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu.
1. Vigezo vyake vimekaaje?
2. Jinsi ya kuapply
Asante sana kiongoz+14705751257 muulize huyu anaweza kukusaidia