Tanzanite Digital Agency
Member
- Oct 19, 2020
- 75
- 238
Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana.
Lakini hiyo sio mada iliyonileta leo kwenu, Mada ya leo ni kuhusiana na Ajira huru (Freelancing). Kama umepitia baadhi ya threads za watu wengine na zangu basi utagundua ni fursa kubwa sana kwa watu hususani ni kwa nchi mbichi kama zetu.
Leo nitaelezea in particular ni namna gani unaweza pata orders katika platform ya FIVERR, Fiverr freelancing inaweza kuwa ni fursa lakini si wote wanafaidika nayo maana si rahisi kutengeneza pesa kwa uharaka kama wengi wanavyodhania. Technically fursa nyingi mtandaoni ni bure kuanza lakini ngumu kunufaika maana zinakuwa saturated na watu wengi sana hivyo kufanya competition kufanya watu wengi zaidi kukosa.
Na hili ndio lilonileta leo, Kukusaidia kupata orders katika platform ya Fiverr kwa uharaka. Soma kwa makini na take action. Maana inawezekana kutengeneza pesa ambayo hukufikiria!
🎯 What you need to do kabla hujajiunga Fiverr!
1: Get your Mindset right!
First thing first, MINDSET! Kama ulitegemea umejiregister fiverr ili upige pesa the same day basi ondoa hiyo akilini please. The best thing i can advise to start having is patience, commitment and discipline. Kwa kila nitachoelezea hakita happen overnight. Fiverr is not a get rich rich quick scheme. It takes time. Might even take weeks to land your first order depending on your service au type of niche you’re selling. so please be patient because it is what it is!
🎯 What you need to do baada ya hujajiunga Fiverr!
1: Work on your profile making it professional (Fanyia kazi profile yako)
Make sure wakati unajisajili Fiverr una-complete profile yako to 100%
Also, You'll need to use a real photo haswa ukiwa ume-smile with clean background. Ni muhimu sana na usije ku-underestimate kufanya hivo. Ni lazima ujielezee, si huduma zako, katika maelezo au sehemu ya “about me”. Wakati buyers (mnunuzi) anaangalia gig yako, jambo la kwanza analofanya ni kusoma your profile description; ikiwa unaweza kukidhi mahitaji yake katika maelezo, utapata order. Katika maelezo yako ya gig, tumia kwa usahihi matumizi ya bold text feature, underline, and highlight options.
Note, Usijaribu ku-copy descriptions za sellers wengine, the best way ni kutafuta a few sellers na u-combine ideas zao na zako. Ndio uje na kitu chako original. Inshort., just take inspiration from them, na sio kuwakopi
New Lazy Tip: Tumia Chat GPT AI kugenerate description yako ukiona umeshindwa kabisa ku-take inspiration.
Things to include,
2: Start With Low Prices Bundles
At first aim kupata reviews na sio pesa, the more five star reviews the more buyers wata-trust service zako. Na njia rahisi kupata hizi reviews ni kuuza service zenye bei ndogo ambapo buyers wengine hawata ona risk kununua.
Wanunuzi wengi huenda Fiverr kwa huduma za bei nafuu, kwa hivyo kuna chance ya kupata order yako ya kwanza kwa kuwa na bei ya chini. Bei ya chini kabisa ambayo unaweza kuuza Fiverr ni $5.
Note: Ukifanya kazi ngumu kama vile Web developments, haina maana kutoza $5 kwa service yako. Kwa hivyo hakikisha kuweka bei nafuu lakini pia yenye maslahi kwako kulingana na service unayo-offer.
3: Your Gig images matter, Use unique and attractive gig images.
Just like Youtube videos the better your video thumbnail the higher your click-through rate (kiwango cha video yako kuwa clicked) to your gig.
Ikiwa unataka GIG yako iwe na kiwango bora cha kubofya, lazima uwe na main image au video nzuri na catchy itakayoweza kumfanya buyer ai-click. Katika search results (matokeo mengi ya utafutaji), lazima kwanza uone picha kabla ya kuona bei ya kichwa, na vitu vingine. Kwa hiyo, picha yako ni muhimu sana. Kinachovutia zaidi ni bora zaidi ikiwa haikiuki sheria.
Video ni sawa. Kwa kweli, video sio lazima. Ikiwa unaweza kutengeneza video, tengeneza video bora zaidi.
Hata kama hawatanunua au kuku-contact. Algorithm ya Fiverr itaanza kupendelea gig yako na kuiweka juu zaidi katika search results. Hii itafanya gig yako kupata clicks na hatimaye orders.
Bonus Tip: Put a video to your gig with images because those videos get more impressions than images.
4: Use smartly keyword in your gig title and description
The second impression of the buyer is gig description baada ya gig image or video. Kwa chochote unachouza, jaribu kuwa extraordinary and straightforward in your gig description. Sellers wengi wana poor grammar or spelling mistakes, ambayo inaonyesha unseriousness. Hii itakukosesha serious potential buyers.
Anyways, mbinu bora ya kufanya maelezo ya kuvutia ya gig ni kwa kuangalia (sio kukucopy) wauzaji bora kwenye Fiverr. Unapokuwa na mashaka, fafanua bila shaka utakachofanya na ujitahidi kutoonekana kuwa na utata au tatizo katika nafasi yoyote ile.
Hakikisha unaadika gig description ambayo ni SEO friendly, kama kwako ni vigumu. Njia rahisi ni kuandaa notepad au google docs, copy atleast 5 gig descriptions za best sellers from the first page unapo-search service kama yako na chambua
5: Ensure your services are new and unique (on-demand services)
Fiverr ina sellers zaidi ya laki nane na kuna more than a million published gigs katika platform. So imagine how the competition is. But hicho sio kitu cha kukufanya ukate tamaa.
ikiwa unaweza kutoa huduma ya kipekee ambayo competitors wako bado hawatoi, uko kwenye hatua ya kupata your first order kwa uharaka zaidi. Competition hutegemea Competitors na demand katika hyo category au field.
Tip: Kama wewe ni designer, unaweza provide unique style designs ambazo competitors wako hawatoi au ni chache katika hiyo category.
6: Be active, stay online and reply on time.
Kuwa active Fiverr kuna faida kubwa sana, Na sio ngumu kwa sababu kuna App unaweza download app au play store. Baadhi ya buyers huhitaji fast delivery kwa kazi zao hivyo hutumia filter feature ya "online sellers" kununua kwa sellers walio online kwa wakati huo.
7: Promote your gig on social media
Social media is the best place to promote anything you need. So sharing your gigs on social media kutasaidia kupata order yako ya kwanza haraka because there are so many business owners looking to hire freelancers. Hii ni step ngumu lakini that’s why not everyone succeeds freelancing and our main reason hapa ni kupata our first order. That’s it, therefore hii sio our everlasting method!
Baadhi za steps unaweza fuata kwa hii step ni:
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Hizo ndio main things to do kufanikiwa Fiverr, I have a full video on youtube kuelezea kwa in deep na mifano hai, so unaweza kwenda kucheck ukihitaji, Steps ni chache lakini it takes serious action and patience kutimiza zote.
Kama una kiu ya mafanikio, Najua utafanya hivo! Thanks and Keep working smart!

- Money-back guarantee
- Satisfaction guarantee
- Unlimited revision (if necessary)

- How they describe their service haswa maneno wanayotumia.
- What they provide from the gig
- How they gain trust from the buyer apart from reviews
- How they use the attributes (highlight, bold, list, etc
- What are the important points they have
5: Ensure your services are new and unique (on-demand services)
Fiverr ina sellers zaidi ya laki nane na kuna more than a million published gigs katika platform. So imagine how the competition is. But hicho sio kitu cha kukufanya ukate tamaa.
ikiwa unaweza kutoa huduma ya kipekee ambayo competitors wako bado hawatoi, uko kwenye hatua ya kupata your first order kwa uharaka zaidi. Competition hutegemea Competitors na demand katika hyo category au field.
Tip: Kama wewe ni designer, unaweza provide unique style designs ambazo competitors wako hawatoi au ni chache katika hiyo category.
6: Be active, stay online and reply on time.
Kuwa active Fiverr kuna faida kubwa sana, Na sio ngumu kwa sababu kuna App unaweza download app au play store. Baadhi ya buyers huhitaji fast delivery kwa kazi zao hivyo hutumia filter feature ya "online sellers" kununua kwa sellers walio online kwa wakati huo.
7: Promote your gig on social media
Social media is the best place to promote anything you need. So sharing your gigs on social media kutasaidia kupata order yako ya kwanza haraka because there are so many business owners looking to hire freelancers. Hii ni step ngumu lakini that’s why not everyone succeeds freelancing and our main reason hapa ni kupata our first order. That’s it, therefore hii sio our everlasting method!
Baadhi za steps unaweza fuata kwa hii step ni:
- Create business pages on Social media, Haswa Quora na Linkedin
- Post your projects and provide valuable content kuhusiana na service yako
- join groups that are related to your niche, Facebook groups is best to start with
- Contact competitors and ask them to collaborate
- Build an audience and convert them to buyers