municaster
Member
- Oct 17, 2022
- 7
- 4
Habari zenu wakuu
Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering
Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba mnisaidie kupata link ya kusoma zile kozi za Udemy au any website ambayo naweza kupata full course ya kujifunza programming hasa kwa java (springboot) and course ya web development kwa ujumla
Kwa research yangu ndogo nimeona jamaa ndio wanatoa start up nzuri kwa beginners kuliko other websites
Naomba kuwasilisha
Cisco nadhani ni wazuri zaidi.Unachagua kipi u base nacho kama ni security, networking, Web design, programming.Mwisho wa course unafanya mitihani na ukifaulu unapewa na cheti.Wajaribu hao jamaa..Habari zenu wakuu
Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering
Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba mnisaidie kupata link ya kusoma zile kozi za Udemy au any website ambayo naweza kupata full course ya kujifunza programming hasa kwa java (springboot) and course ya web development kwa ujumla
Kwa research yangu ndogo nimeona jamaa ndio wanatoa start up nzuri kwa beginners kuliko other websites
Naomba kuwasilisha
Free code camp nimefanya nao kazi ila naona Wana video ndefu kuna mtu nilimuona ana video za Udemy naona zipo fresh kwa beginners ila hata hivyo naendelea naoJaribu edX, W3Schools, au FreeCodeCamp
Shukran mzeeCisco nadhani ni wazuri zaidi.Unachagua kipi u base nacho kama ni security, networking, Web design, programming.Mwisho wa course unafanya mitihani na ukifaulu unapewa na cheti.Wajaribu hao jamaa..
Nashukuru kiongoziGo torrent that’s only option
Cbt nuggets pia wapo vzr,kuna jamaa mmoja anaitwa Jeremy sema sikuhizi sioni video zake he knows his stuffFree code camp nimefanya nao kazi ila naona Wana video ndefu kuna mtu nilimuona ana video za Udemy naona zipo fresh kwa beginners ila hata hivyo naendelea nao
Ntapita na humoCbt nuggets pia wapo vzr,kuna jamaa mmoja anaitwa Jeremy sema sikuhizi sioni video zake he knows his stuff