Jinsi ya Kupata Land-line Number

Jinsi ya Kupata Land-line Number

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakubwa Kwema?
Nawezaje kupata hii Land-line number pamoja na simu yake?
Nahitaji pia iwe ina uwezo wa kufoward calls kwenye namba ya simu ya mkononi.
 
Nimeenda, wana simu zao. Simu ni 55,000 pamoja na installation.
 
Back
Top Bottom