Adejohn
Member
- Aug 21, 2022
- 9
- 18
Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea.
Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko!
Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni nahitaji niwe na strategies zangu binafsi ili kusaidia kupush kampuni iwe kubwa zaidi na nilivyoikuta.
Naomba kwa anaefahamu jinsi gani naweza kupata masoko kwa bandari zilizopangwa Dar es salaam yan kuanzia process zake ukiachilia mbali kuitangaza kampuni online nahitaji nifahamishwe njia nyingne out of online marketing promotion.
Kwa anaefahamu anaweza kuniambia jamani ili nkienda kwenye kampuni nijiamini na hr ajue nna shauku ya kuiendeleza kampuni