Fatuma yuso
Member
- May 1, 2025
- 19
- 50
NzuriNenda Kwa mwenyekiti wa soko anakua na taratibu zote
AsanteeNzuri
Mkuu ulipata?Habari zenu WanaJF,
Nauliza kwa anayejua jinsi ya kupata meza ya kukodi Tandika au Mbagala, nataka kuanza biashara ya mtumba.