Nadhani kwenda katika ofisi zao na kupata maelezo wanaweza kuwa na mwongozo woteHabari wana JF,
Kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi hapa jukwaani, kwavile kuna watu wana uelewa mpana wa hili swala nnalotaka kuuliza,
Kwa mtu ambaye ameweka hela zake UTT mifuko ya Liquid na bond, ni kwa namna gani ataweza kupata mkopo, na UTT ikasimama kama dhamana ya huyo mtu kupata mkopo,
Kwa upande wangu kuna fedha nimezihifadhi kwa muda huko UTT kwenye mfuko wa Liquid na bond, sasa nataka nisizitoe ila zitumike kama dhamana ya mimi kupata mkopo kupitia Bank za Nmb,crdb au NBC, naomba mwenye uzoefu na hili anipe mwanga kidogo
Asanteni sana
Mkuu hii inawezekana? Ni utaratibu upi unatumika ili UTT waweze kunidhamini?Kwa kupitia Bond only UTT ndio watakudhamini ukichukulia mkopo CRDB. Banks zingine sijui..
na hiyo bond yako iwe na 10M+… wanakupa 80 ya ulichokiweka huko
Lazima uwe na pesa isiyopungua 10M kwenye mfuko wa bond.Mkuu hii inawezekana? Ni utaratibu upi unatumika ili UTT waweze kunidhamini?
Ahsante sana,nlikuwa silifahamu hili..so mfumo wa marejesho ni kwa kudeposit wewe mwenyewe kila mwezi sivyoLazima uwe na pesa isiyopungua 10M kwenye mfuko wa bond.
Ile pesa ndio inasimama kama dhamana kuu
Huku UTT nao wakikudhamini
Ndio. Unarejesha kupitia ile faida yako inayotokea kwenye hisa zako zilizoko bond fundAhsante sana,nlikuwa silifahamu hili..so mfumo wa marejesho ni kwa kudeposit wewe mwenyewe kila mwezi sivyo
Naweza kukucheki DM?hakikisha pesa unayotaka kuchukulia mkopo ipo kwenye bond fund na umepata angalau installment moja , weka akaunti ya kulipia iwe NBC alafu nicheki nitakupa connection na mtu wa NBC, unapata mapema tu
ThankyouNdio. Unarejesha kupitia ile faida yako inayotokea kwenye hisa zako zilizoko bond fund
Haina shidaNaweza kukucheki DM?
Kwenye UTT unapata return ya asilimia ngapi?Habari wana JF,
Kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi hapa jukwaani, kwavile kuna watu wana uelewa mpana wa hili swala nnalotaka kuuliza,
Kwa mtu ambaye ameweka hela zake UTT mifuko ya Liquid na bond, ni kwa namna gani ataweza kupata mkopo, na UTT ikasimama kama dhamana ya huyo mtu kupata mkopo,
Kwa upande wangu kuna fedha nimezihifadhi kwa muda huko UTT kwenye mfuko wa Liquid na bond, sasa nataka nisizitoe ila zitumike kama dhamana ya mimi kupata mkopo kupitia Bank za Nmb,crdb au NBC, naomba mwenye uzoefu na hili anipe mwanga kidogo
Asanteni sana
Yani haki ya mtu mpaka connection. Kweli bongo nyoso. Hapo jamaa naye atataka cha juu....hakikisha pesa unayotaka kuchukulia mkopo ipo kwenye bond fund na umepata angalau installment moja , weka akaunti ya kulipia iwe NBC alafu nicheki nitakupa connection na mtu wa NBC, unapata mapema tu
Hamna cha juu na wala sio connection kwamba inabidi atoe hela , ni kwasababu siwezi toa namba ya mtu mtandaoni , nikimpa namba ni kuwa itakuwa straight tu njoo na vitu hivi au atampigia hesabu na kukubaliabana halafu imeisha , otherwise aende tu tawi lolote la NBC atapewa vigezo na document zinazohitajikaYani haki ya mtu mpaka connection. Kweli bongo nyoso. Hapo jamaa naye atataka cha juu....
Marejesho inakuaje?Lazima uwe na pesa isiyopungua 10M kwenye mfuko wa bond.
Ile pesa ndio inasimama kama dhamana kuu
Huku UTT nao wakikudhamini
Benki inachukuwa moja kwa moja GAWIO la kila mwezi unalolipwa na UTT.Marejesho inakuaje?