Jinsi ya kupata mshangazi wa kizungu, wewe ukiwa ndani ya Tanzania na Mshangazi ukiwa majuu.

Kuwa na mshangazi inaweza isiwe dhambi Ila dhambi inaweza ikawa kile ambacho utaweza kukipata.
 
Tafuta hela, hao wapo tu ukiwa nazo
Au kapigwe rungu Zenj huko na wataliano ukihongwa naww tafuta jimama ubaki huko usije huku bara na mafi yako.
 
Kila la kheri zenu, ngoja waje mpeane miongozo...
 
Acha mdeko mtoto wa kiume


Kale ushibe ulale

Kesho uamke kuchimba mtaro
 

Ingia Tinder alafu ulipie premium. Utakuwa na uhuru wa kuchagua geographical locations za warembo uwapendao.

Utaweka kigezo cha umri uipendayo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…