English isikutishe wwSio darasa la saba huyu anatuzingua tu
Mkuu hongera...Mimi nilijitesa sana tu lakini sikufua dafu...ila hela nyingi nilimalizia kwenye ada.. Kuna wakati lilikuwa linaishia kwenye ada lotetu
likua tunajitesa sana sana sana aisee ili mrdi tu kusave kiasi fulani cha pesa. kula kawaida, mavazi ya kawaida, sometimes shatopori, notes ama tunaazima ila mara nyingi ni kutegemea pdf na slides.
YOTE KWA YOTE HAIKUWA KAZI RAHISI, ILIKUWA NI KWA MACHOZI, JASHO NA DAMU NA MWISHO WA SIKU ILIWEZEKANA.
Sio ww mwenyew mkuu mpaka sasa ndo kitu kinachonikuta najikuta boom lote limeishia kwenye ada na cost zingine tena alitoshi inakubidi kuchukua tena kwa washkaji likija la pili uwalipeMkuu hongera...Mimi nilijitesa sana tu lakini sikufua dafu...ila hela nyingi nilimalizia kwenye ada.. Kuna wakati lilikuwa linaishia kwenye ada lote
kama ilikua inaisha kwenye ada si vibaya, hukuwa na namna.Mkuu hongera...Mimi nilijitesa sana tu lakini sikufua dafu...ila hela nyingi nilimalizia kwenye ada.. Kuna wakati lilikuwa linaishia kwenye ada lote
Asilimia 68 mkuu...kiasi siwezi tajakama ilikua inaisha kwenye ada si vibaya, hukuwa na namna.
kwani ada ulkuwa unalipiwa kiasi gani na HESLB?
Dah kabisa mkuu...Mimi kuna wakati lilikuwa linakata kwenye ada naanza kukopa likija linalofuata nalipa kodi na madeni ya kutosha linaisha tena nabaki hivo baada ya muda mfupiSio ww mwenyew mkuu mpaka sasa ndo kitu kinachonikuta najikuta boom lote limeishia kwenye ada na cost zingine tena alitoshi inakubidi kuchukua tena kwa washkaji likija la pili uwalipe