Ba Chomsky
Member
- Feb 18, 2013
- 20
- 2
Ahsante kwa majibu wacha nijipange
Nijuavyo mimi ni hivi: playas wengi huwa wanapata watoto wa kike.
Jaribu tu hata kufanya utafiti/ uchunguzi wako mwenyewe utajionea.
Hivyo, kama wewe unataka mtoto wa kike na wewe siyo playa, basi anza leo.
Play the field like there's no tomorrow and come back and tell what sex is your baby once you knock up your wife.
Once on the field, pl responsibly. Don't knock up any other chick but your wife.
Kuna ukweli asilimia za kutosha ktk hili, wadau kadhaa niwajuao wapenda papuchi wamepiga za kike nyingi. Na hali hii waswahili tunaishia kusema malipo duniani as watoto wao nao watapigwa mkojo kwa kipimo kile kile baba yao aliwafanyia watoto wa wenzake.