pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
www.wikihow.com
Okay mkuu vp hukuandamana kweli?![]()
Simple Ways to Search a Phone Number on Facebook: 9 Steps
If you know someone's phone number, you may be able to use it to find someone's Facebook account. As long as the phone number is associated with an account, the account will come up when you search for the phone number. This wikiHow will...www.wikihow.com
Ndio inawezekana acheki hapo
Nilikuwa kazini kakaOkay mkuu vp hukuandamana kweli?
Login Facebook na browser unayo tumia kufungua links kisha click hapaMsaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
kaka nisaidie namna ya kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA onlineLogin Facebook na browser unayo tumia kufungua links kisha click hapa
pole hutopata! labda kama unataka namba na kama unahitaji namba usitumie njia ya online tafuta no zao wapigie!.kaka nisaidie namna ya kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA online
Una no upate nakala ya kitambulisho?kaka nisaidie namna ya kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA online
Una no upate nakala ya kitambulisho?
Ingia hapo
Sawa weka no kwenye hio link niliokuwekeanamba ninayo, nahitaji nakala ya kitambulisho
Sawa weka no kwenye hio link niliokuwekea
ShukranLogin Facebook na browser unayo tumia kufungua links kisha click hapa
Siku hizi hakuna hiyo hudumanamba ninayo, nahitaji nakala ya kitambulisho
Umeeka no ya Nida na ikakuuliza kata Uliyosajili?View attachment 3105475
hatua ipi inafata hapa kaka
Kwa nini wanatumia lugha ya malkia na wakati NIDA ni ya waswahili?View attachment 3105475
hatua ipi inafata hapa kaka
ndio nimejaza na hatua iliyofuata ndio hiyo hapoUmeeka no ya Nida na ikakuuliza kata Uliyosajili?
Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook