Jinsi ya kupata salio la BURE!

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
habari wanaJF, leo nimependa kuwashirikisha kitu ambacho nimekijaribu na kuona kinafanya kazi kwangu. Unaweza kupata salio kwa kushare link yako kwenye mitandao ya kijamii.

Swali unapataje salio la BURE, jibu kwa kushare link na kila anajiunga unapata point 190 na baadae utabadilisha kuwa salio.

Kupata maelezo na namna ya kujiunga download APP ya makala ya bishara playstore, soma makala inayodili na hilo topic ya kupata salio . Utaona link ifungue jiunge anza kupokea salio kwa kushare link.

Jaribu inafanya kazi world wide.

Goodluck. Cheers
 

Attachments

  • Screenshot_20191019-194738_Makala.jpg
    64.1 KB · Views: 2
Ndiyo ukute kupakua hiyo app, kucopy na kushare links kwa watu unatumia MBs 250 ambayo kwa thamani ni sawa na Tsh 1,000.

Baadae unakuja kupewa points ambazo ukiziconvert kuwa salio unapewa Tsh 150.

Hapo hatujaweka muda uliotumia na kiwango cha ushawishi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 

Ukifikiria hivyo mambo mengi utakuwa ufanyi bro. Its your percetion bro goodluck.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi vitu vya bure Benny utakuja kuolewa
 
Bure aghari. Usipende vitu vya bure vina madhara yaliyojificha, sugar coated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…