Jinsi ya kupata TIN help

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Kutokana na location niliyopo ni wilayan ofisi za tra hawatoi tin mpaka mkoan nami nature ya kazi Inabana kutoka weekdays mpaka wkend, je naweza kujiregister kupata tin online? Or any other option?
 
Mkuu kumbe njia ya Kupata Unaifahamu halafu unauliza watu humu, Njia ndo hiyo ni lazima Uende TRA mkoani, hakuna njia ya Short cut ya Kupata TIN
 
Siku hizi TIN lazima wakupige picha kwa hiyo lazima uende kwenye ofisi zao,hiyo huduma ya Online haifanyi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…