Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nop ni kwa matumiz mengne 2Unataka ukampe Madam Lulu maujanja...
Ni hiyoo moja tu mkuuSifa ya kwanza nyapara lazima uwe mbavu nene [emoji123]
Sawa mkuu mbinu imesomekaUwe na kiherehere na ndio aka yao hiyo
HapanaMmmm unataka kwenda kua nyapala jela au
Nop ni kwa matumiz mengne 2
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naona umeibuka na id yako ya pili.
😀😀😀 Naona kachanganya madesaMkuu naona umeibuka na id yako ya pili.
Muulize lulu akitoka.Rejea maada tajwa hapo juu mimi nahitaji kujua njia zinazotumika kupata uongozi ukiwa jela wanawaita manyampara.
Kwa wenye uzoefu karibuni hii ni serious.
Mkuu una id mbiliHapana
Mkuu naona umeibuka na id yako ya pili.