Jinsi ya kupata vitu na meza za Makampuni ya vinywaji

Jinsi ya kupata vitu na meza za Makampuni ya vinywaji

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Wana JF, nina mpango wa kufungua bar, ukumbi na night club hapa DSM.

Naombeni msaada jinsi ya kupata viti, meza, friji nk kutoka makampuni ya vinywaji.

Tuwasiliane 0754 279035
 
Fungua tu ukianza mchakato watakuja tu wenyewe.
 
Fanya manunuzi kwenye depot ya kuuza vinywaji vya jumla, ukichukua mzigo mkubwa kwao watakusaidia kupata mahitaji hayo.

Mfano kama ni bidhaa za coka au bia. Ila depot iwe karibu au maeneo unapofanyia biashara. Kama upo uyui uchukue bidhaa katika depot ya hapo uyui.
 
Back
Top Bottom